Blog


01

Nov 2017

Mratibu mradi wa maji Bagamoyo ngoma nzito

  David Nawepa, Bagamoyo Mratibu na msimamizi  wa mradi wa maji unaolenga kuwapa maji safi na salama zaidi ya wananchi 10,000  wa Halmashauri ya  Bagamoyo, Mhandisi Jason Niraphael,  jana (Jumatatu, 30 Oktoba, 2017) amejikwaa  kwa  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola baada ya kutoa maelezo duni  juu ya mradi anaosimamia. Waziri Mdogo Lugola, ambaye kateuliwa wiki...

Read More...

Read More


27

Sep 2017

Kamati ya Bunge Kilimo, Mifugo yaishauri serikali kutoa ruzuku kwa SAGCOT

  Na Mwandishi Wetu, Njombe BAADA ya kuridhishwa na utendaji wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (SAGCOT) katika kongani ya Ihemi katika mikoa ya Iringa na Njombe, Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo, Mifugo na Maji imeshauri serikali kutoa ruzuku kwa kituo hicho ili kuongeza tija kwa wakulima. “Iwapo Serikali itatoa ruzuku kwa  SAGCOT  itakiwezesha kituo hicho kufanya  vizuri zaidi katika kongani hii...

Read More...

Read More


19

Sep 2017

Help local dairy industries, MP tells government

  By David  Nawepa in Iringa Members of the Parliamentary Standing Committeee for Agriculture, Livestock and Water today ( Monday, September 18, 2017 )  started a tour of Sagcot’s  Ihemi Cluster, a tract embracing Iringa and Njombe Regions, with a call on the government to help local dairy industries so that they can compete in local and foreign markets. The call was made here by...

Read More...

Read More


19

Sep 2017

MP makes case for Tanzania’s dairy industries

From our Correspondent in Iringa Mufindi North Member of Parliament  Mahmoud Mgimwa  has implored the government to support  local dairy industries just like the Kenyan government is doing. Speaking during a dinner hosted here by the Agriculture Minister Charles Tizeba in honour of members of the Parliamentary Standing Committee for Agriculture, Livestock and Water,  Mr Mgimwa said local dairy industries face a myriad of  problems...

Read More...

Read More


19

Sep 2017

Wakulima Njombe waishukuru Sagcot kwa mafunzo ya kilimo cha viazi mviringo

Na Mwandishi Wetu, Njombe TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotazamiwa kunufaika na fursa nyingi za katika uzalishaji wa  viazi mviringo kutokana na ushirikiano madhubuti kati ya serikali na sekta binafsi katika kuinua kilimo cha wakulima wadogo. Akizungumza katika mkutano wa kufunga mafunzo ya uzalishaji viazi yaliyodumu  katika program ya  miaka mitatu kwa wakulima wa Njombe leo (Ijumaa, Septemba 15, 2017), Mkuu wa  Maendeleo ya Kongani...

Read More...

Read More


19

Sep 2017

Tanzania set to become Africa’s strategic Irish potato producer

By David Newapa in Njombe A three-year training programme of Irish potato growers ended here today (September 15, 2017) flashing indications that Tanzania may become a strategic producer of the crop in the south of the Sahara. The Head of Clusters Development with Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzanians (Sagcot), Ms Maria Ijumba said the programme has unleashed agri-business opportunities and that production of the crop...

Read More...

Read More


Ask donors to protect Tanzania’s natural beauty, says Maghembe

15

Sep 2017

Ask donors to protect Tanzania’s natural beauty, says Maghembe

By David Newapa in Serengeti Addressing an august audience here at a hand-over occasion of a set of buildings that will consolidate gains achieved so far in implementing the Serengeti Ecosystem Development and Conservation Project, excited Natural Resources and Tourism Minister Jumanne Maghembe did not only thank Germans, the chief funders, but asked Tanzanians to campaign for protection the country’s rare natural beauty. “…Our foreign...

Read More...

Read More


Matinde awataka wajasiriamali wachangamkie biashara Burundi

13

Sep 2017

Matinde awataka wajasiriamali wachangamkie biashara Burundi

Na David  Nawepa Mkurugenzi wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania(TPSF) Bibi Anna Matinde, amewataka wajasiriamali wa Tanzania kuhudhuria kongamano na maonyesho ya biashara yatakayofanyika Burundi kwa sababu maandalizi ya usafiri wa ardhini na anga tayari yamefanywa. Akizungumza na waandishi wa habari leo (Septemba 7, 2017) katika ofisi za Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) jijini Dar es Salaam, Bibi Matinde amewahakikishia wajasiriamali...

Read More...

Read More


Burundi imewaandalia Watanzania vibali vya biashara, yasema TanTrade

13

Sep 2017

Burundi imewaandalia Watanzania vibali vya biashara, yasema TanTrade

Na David  Nawepa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo  (Septemba 7,2017)imewaalika wafanyabiashara wa Tanzania kupeleka bidhaa Burundi kwani tayari Wizara ya Biashara ya Burundi imekwishaandaa vibali vya biashara kwa ajili yao. Akizungumza jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari,  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Bwana Edwin Rutageruka, amewahakikishia pia  wajasiriamali kwamba hali ya usalama Burundi ni nzuri na inaruhusu kufanya biashara nchini...

Read More...

Read More


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bwana George Simbachawene   (kulia) akibadilishana mawazo na  Mkuu wa Kongani katika shirika la Sagcot Bibi Maria Ijumba (kushoto karibu na kamera),katikati ni Afisa Mtendaji wa Sagcot, Bw. Geoffrey Kirenga Jijini Mbeya wakati wa kabla ya kufunga maonyesho ya Nane Nane leo (Picha na Moses Ferdinand).

13

Sep 2017

Watanzania wakipata msaada muafaka watainua kilimo, asema Kirenga

Na Rukiza Kyaruzi, Jijini Mbeya Wakati serekali  na wadau maarufu wanafanya  jitihada kubwa kuirudishia mikao ya nyanda za juu kusini heshima yake ya kuwa ‘kapu la chakula la taifa’  maonyesho ya shughuli za kilimo, maarufu kama NaneNane  yaliyofanyika Jijini Mbeya hivi karibuni ( Agosti 8, 2017) Sagcot  imeyaona maonyesho hayo kuwa  ni fursa waliyotumia  Watanzania  kuonyesha uwezo wao katika kilimo  na kupokea changamoto mpya. Akitoa...

Read More...

Read MorePage 1 of 512345