Blog


Minister urges farmers to adopt aptly rewarding farming  methods

11

Sep 2017

Minister urges farmers to adopt aptly rewarding farming methods

    By Rukiza Kyaruzi in Mbeya   THE Minister of State in the President’s Office, Regional Administration and Local Governments, Mr George Simbachawene has beseeched peasants, more so those in southern highlands,  to take up more rewarding farming methods in order to increase yields in a hectare. Closing Nane Nane celebrations in Mbeya here today (August 8, 2017)  on behalf of the Vice-President, Ms...

Read More...

Read More


Kirenga: Safari kuelekea Tanzania ya viwanda inadai ufanisi

11

Sep 2017

Kirenga: Safari kuelekea Tanzania ya viwanda inadai ufanisi

Na David  Nawepa, Mbeya Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (SAGCOT), Bwana Geoffrey Kirenga, amesema Jijini hapa leo (Agosti 8, 2017) katika hafla ya kufunga maonyesho ya Nane Nane kwamba safari ya kuelekea Tanzania ya uchumi wa viwanda inadai utendaji wenye ufanisi katika maeneo yote ya sekta ya kilimo. “Tunapokwenda kwenye Tanzanaia ya viwanda lazima huduma hizi zitolewe kwa ufanisi zaidi,”...

Read More...

Read More


Moja ya mashine za kupukuchulia mahindi ambayo imetengenezwa na wabia wa Sagcot, USAID na Feed the Future, ambayo ilikuwa katika maonyesho ya Nanenane Jijini Mbeya. Mashine hii inalenga kuongeza tija katika kilimo kwa kupunguza mzigo wa kazi kwa mkulima na kupukuchua mahindi katika mazingira safi na salama. (Picha na Moses Ferdinand)

11

Sep 2017

Watanzania wakipata msaada muafaka watainua kilimo, asema Kirenga

Na Rukiza Kyaruzi, Jijini Mbeya Wakati serekali  na wadau maarufu wanafanya  jitihada kubwa kuirudishia mikao ya nyanda za juu kusini heshima yake ya kuwa ‘kapu la chakula la taifa’  maonyesho ya shughuli za kilimo, maarufu kama NaneNane  yaliyofanyika Jijini Mbeya hivi karibuni ( Agosti 8, 2017) Sagcot  imeyaona maonyesho hayo kuwa  ni fursa waliyotumia  Watanzania  kuonyesha uwezo wao katika kilimo  na kupokea changamoto mpya. Akitoa...

Read More...

Read More


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bwana George Simbachawene  (kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Kongani katika shirika la Sagcot Bibi Maria Ijumba (kushoto karibu na kamera),katikati ni Afisa Mtendaji wa Sagcot, Bw. Geoffrey Kirenga Jijini Mbeya wakati wa kabla ya kufunga maonyesho ya Nane Nane leo (Picha na Moses Ferdinand).

11

Sep 2017

Simbachawene urges farmers to adopt new farming ways

From our Correspondent in Mbeya Tanzania’s peasant farming will be revolutionarised by farmers using science and technology in order to increase yield per hectare. Minister in the President’s Office, Regional Administration and Local Governments George Simbachawene told a closing ceremony of Nanenane celebrations here today (August 8, 2017)  that   the way to introduce productivity in traditional peasant farming  is to use science and technology in...

Read More...

Read More


11

Sep 2017

Eneo dogo litupe mazao mengi, amesama Simbachawene

Na Mwandishi Wetu, Mbeya   Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bwana George Simbachawene, amewakumbusha wakulima kwamba kilimo chenye tija kina dalili za wazi za kuwa muarobaini wa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji nchini. Kilimo cha aina hiyo, amesema Waziri kitatokana na matumizi ya sayansi na teknolojia,   ili mkulima avune mazao mengi kutoka katika...

Read More...

Read More


Moja ya mashine za kupukuchulia mahindi ambayo imetengenezwa na wabia wa Sagcot, USAID na Feed the Future, ambayo ilikuwa katika maonyesho ya Nanenane Jijini Mbeya. Mashine hii inalenga kuongeza tija katika kilimo kwa kupunguza mzigo wa kazi kwa mkulima na kupukuchua mahindi katika mazingira safi na salama. (Picha na Moses Ferdinand)

05

Sep 2017

Watanzania wakipata msaada muafaka watainua kilimo, asema Kirenga

Na Rukiza Kyaruzi, Jijini Mbeya Wakati serekali  na wadau maarufu wanafanya  jitihada kubwa kuirudishia mikao ya nyanda za juu kusini heshima yake ya kuwa ‘kapu la chakula la taifa’  maonyesho ya shughuli za kilimo, maarufu kama NaneNane  yaliyofanyika Jijini Mbeya hivi karibuni ( Agosti 8, 2017) Sagcot  imeyaona maonyesho hayo kuwa  ni fursa waliyotumia  Watanzania  kuonyesha uwezo wao katika kilimo  na kupokea changamoto mpya. Akitoa...

Read More...

Read More


Dr Hashim Saiboko akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini mwake jana, Kigamboni, Dar es Salaam.

31

Aug 2017

Kigamboni yapata sekondari ya kisasa

    Dr Hashim Saiboko akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini mwake jana, Kigamboni, Dar es Salaam.Na Mwandishi wetu, Kigamboni Kata ya Kisarawe 2  katika wilaya mpya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam , imekuwa kati ya kata  chache za mwanzo nchini kuwa na shule ya sekondari ya kisasa, yenye kutumia komputa na ubao unaohifadhi maelezo ya mwalimu kwa matumizi ya...

Read More...

Read More


IHSAN SCHOOL, KIGAMBONI

31

Aug 2017

Kigamboni gets world class secondary school

By our Correspondent, Kigamboni A private world class boarding secondary school has been established in Kigamboni District, one of Dar es Salaam Region’s new districts. The Director of Ihsan Islamic Secondary School, Dr  Hashim Saiboko,  told journalists who visited the school here yesterday that the school has been established in a bid to contribute to the government’s  turn round endeavours that seek to give Tanzanian...

Read More...

Read More


30

Aug 2017

Mwanza yang’ara katika mpango wa Wilaya Moja Bidhaa Moja

Na DAVID NEWAPA   Mkoa wa Mwanza, wenye wilaya sita, umeng’ara katika mpango wa Shirika la Kuendeleza Viwanda Vidogo (SIDO) wa Wilaya Moja Bidhaa Moja (ODOP) imelezwa leo ( Alhamisi, Agosti 24, 2017). Mkurugenzi wa Mafunzo na Huduma za Mikoa SIDO, Bibi Joyce Meru,akizungumza katika Makao Makuu ya SIDA, jijini Dar es Salaam,  amesema tayari kila wilaya imechagua bidhaa yake ya kutilia mkazo. Kwa mujibu...

Read More...

Read More


The Director for Training and Services to Regions, Ms Joyce Meru, addressing journalists during a press briefing at the SIDO headquarters in Dar es Salaam yesterday. (Picture by our photographer Isdory Njavike)

30

Aug 2017

SIDO plans to help entrepreneurs produce world class goods

By David Nawepa, Dar As the SIDO propels its seven-year old One District One Product (ODOP) programme to elevate it to a higher  production level, the organisation pledged  yesterday that it will  help small entrepreneurs  produce world class goods. Speaking at the a press conference called by SIDO Director General, Professor Sylvester Mpanduji, the Director for Training and Services to Regions, Ms Joyce Meru, said...

Read More...

Read MorePage 2 of 512345