Blog


04

Aug 2017

Maghembe anadi Serengeti kwa mabilionea

NA RUKIZA KYARUZI, MANYARA   WAZIRI Jumanne Maghembe  ameinadi Serengeti vilivyo kwa mabilionea wanaotembelea Tanzania kwa siku tatu  na kuwaomba wawe mabalozi duniani kote wa kuwatetea wanyamapori waliyomo Tanzania mbuga hii ya wanyamapori ili wabaki salama kwa ajili ya vizazi vijavyo. Akizungumza na mabilionea 26  na wenzi wao, katika chakula cha usiku alichowaandalia mwishoni mwa wiki katika mbuga ya Serengeti, waziri huyo Wizara ya Maliasili...

Read More...

Read More


Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora.

03

Aug 2017

Kamuzora ajibu wapingao mradi wa Stiegler

Na Daudi Nawepa, Morogoro   Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora, amewajibu wapingao utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Stiegler katika bonde la Rufiji kwa kusema kwamba mradi huo utachangia kupatikana kwa umeme nchini, kukua kwa uchumi na kulinda viumbehai.   Amesema ni kweli  utunzaji wa mazingira unastahili kipaumbele cha kipekee lakini akaongeza kuwa  utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa  Stiegler...

Read More...

Read More


Banda la Mahakama kuu Dar es salaam kwenye maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Dar es Salaam (sabasaba),

06

Jul 2017

Banda la Mahakama kuu Dar es salaam kwenye maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Dar es Salaam (sabasaba),

Kaimu Jaji mkuu profesa Ibrahim Hamis Juma akipokea maelekezo kutoka kwa mmoja wa Maofisa jijini Dar es salaam jana alipo tembelea kwenye banda la Mahakama kuu kwenye viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere kwenye maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Dar es Salaam(sabasaba), Kaimu Jaji mkuu profesa Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na Naibu msajili Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya kazi Bwana Projestus...

Read More...

Read More


Serikali itahakikisha SAGCOT inapata fedha itimize malengo

06

Jul 2017

Serikali itahakikisha SAGCOT inapata fedha itimize malengo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeahidi kutafuta fedha kadiri ya uwezo wake ili mipango ya na dhamira ya Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (SAGCOT), ifanikiwe kwa kiwango cha kuridhisha na kutoa mchango katika azma ya viwanda. Akizungumza mjini hapa hivi karibuni wakati wa kikao cha kazi baina ya wabia wa SAGCOT ambao ni sekta binafsi na sekta ya umma, Naibu Katibu Mkuu Wizara...

Read More...

Read More


Mkutano wa wafanya Biashara kwa wafanya Biashara

06

Jul 2017

Mkutano wa wafanya Biashara kwa wafanya Biashara

Afisa biashara muandamizi kutoka bank ya maendeleo ya kilimo Bib. Eunice Mmbando akizungumza kwenye mkutano wa wafanya Biashara kwa wafanya Biashara ulio waunganisha wadau wa Maziwa kwenye mkutano uliofanyika jijini Dar es salaam jana katika maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Dar es Salaam(sabasaba). Afisa huduma za usindikaji Bodi ya Maziwa Tanzania bwana. Shehemba Jumaa akielezea humuimu wa usindikaji maziwa kwenye mkutano wa wafanya...

Read More...

Read More


Tupo tayari kwa Tanzania ya viwanda- Mzee Mwinyi

06

Jul 2017

Tupo tayari kwa Tanzania ya viwanda- Mzee Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, Dar RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, amesema ameridhishwa na kasi ya bidhaa bora zinazozalishwa na wajasiriamaliwa ndani hivyo hana shaka Tanzania ipo tayari kwa uchumi waviwanda. Alisema hayo jana katika viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere katika maonyesho ya 41 ya kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba ambapo katika mabanda kadhaa aliyotembelea aliona namna wajasiriamali wa...

Read More...

Read MorePage 5 of 512345